Tuesday, January 5, 2010

ZUMA AKIWA NA MAMA ZOTE TATU


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akiwa na wake zake zote watatu mara baada ya kuoa. Hii inakuwa ndoa ya tano kwa Rais Zuma. Mke wake mmoja alifariki kwa ugonjwa wa ukimwi huku mwingine waliachana.

No comments:

Post a Comment