
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Togo wamebadili uamuzi wao wa kujitoa katika Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Uamuzi huo umefikiwa na Wachezaji wenyewe licha ya serikali kutaka warejee nyumbani baada ya kushambuliwa wakiwa njiani kuelekea katika mji wa Cabinda.
No comments:
Post a Comment