Sunday, January 10, 2010

MAN UTD YAZIDI KUCHECHEMEA



Mabingwa watetezi nchini England Manchester United wameendelea kuandamwa na kwi kwi baada ya kushuhudia ikibanwa mbavu na Birmingham City. Katika mchezo huo matokeo yalikuwa 1-1.

No comments:

Post a Comment