Tuesday, January 12, 2010

MALAWI YATOA ONYO KWA VIGOGO AFCON



Wawakilishi wa Afrika kwenye Dimba la Kombe la Dunia Algeria wamekumbana na dhahama baada ya kufungwa magoli matatu kwa buyu na Malawi. Malawi wameanza kwa nguvu michuano hiyo na kuwatisha vigogo mbalimbali

No comments:

Post a Comment