




Zaidi ya watu milioni wanahitaji misaada ya haraka kufutia kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Haiti. Huku taarifa zikieleza zaidi ya watu elfu 50 wamepoteza maisha katika tukio hilo. Waokoaji wanaendelea na zoezi la utoaji wa miili iliyonaswa kwenye vifusi
No comments:
Post a Comment