Saturday, January 9, 2010

TOGO YAJITOA MATAIFA AFRIKA


Timu ya Taifa ya Togo imetangaza kujitoa katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kushambuliwa wakiwa njiani kuelekea Angola. Nahodha wa timu hiyo Emmanuel Adebayor amesema wamefikia uamuzi huo baada ya wachezaji kuhitaji kurudi nyumbani.

No comments:

Post a Comment