Wednesday, January 13, 2010

LIVER KAMA MAN UTD FA CUP




Ama kweli huu ni mwaka wa Shetani kwa Liverpool "Bwawa la Maini" yaondolewa Kombe la FA na Reading kwa kichapo cha magoli 2-1. Licha ya kichapo Liverpool imewapoteza wachezaji wake mahiri Fernando Torres na Steve Gerrard kutokana na majeruhi

No comments:

Post a Comment