Thursday, January 14, 2010

SERENA ATINGA FAINALI MICHUANO YA SYDNEY INTERNATIONAL


Mchezaji ambaye anaorodheshwa kwenye nafasi ya Kwanza katika mchezo wa Tennis Duniani Serena William amefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya Michuano ya Sydney International. Serena amefuzu katika hatua hiyo baada ya kumshinda Avarane Rezai kwa seti 2-1 kwa matokeo ya 3-6, 7-5 na 6-4

No comments:

Post a Comment