Wednesday, January 13, 2010

MAELFU WAHOFIWA KUFA HAITI!!!


Taarifa kutoka nchini Haiti zinaeleza kuwa huenda maelfu ya watu wakawa wamepoteza maisha kutokana na kufukiwa na vifusi. Taarifa hiyo imekuja wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea. Tetemeko hilo la ardhi lenye ukubwa wa richta saba ni la kwanza kwa ukubwa katika nchi hio kwa zaidi ya miaka 200.

No comments:

Post a Comment