Saturday, January 9, 2010

DROGBA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA BBC


Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast na Chelsea Didier Drogba ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BBC na wasikilizaji wa shirika hilo la habari. Drogba ametangazwa mshindi saa kadhaa kabla ya kuanza kwa mashindano ya Kombe la Afrika.

No comments:

Post a Comment