Saturday, January 9, 2010

ARSENAL CHUPUCHUPU KWA EVERTON



Washika Bunduki wa Jiji la London Arsenal wameambulia sare ya goli mawili kwa mawili katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Engand mbele ya Everton. Arsenal wamechomoa dakika ya 92.

No comments:

Post a Comment