Thursday, January 14, 2010

SEMENYA ATANGAZA KUREJEA KWENYE MASHINDANO


Bingwa wa Mbio za Mita 800 kwa upande wa Wanawake Caster Semenya ambaye suala lake la jinsia lilizua utata baada ya kushinda kwenye Mashindano ya Mabingwa wa Mchezo huo ametangaza kurejea tena kwenye mashindano hapo mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment