
Mchezaji Nikolay Davydenko amefanikiwa kutwaa ubingwa wa Qatar Open baada ya kushinda kwa seti mbili kwa moja dhidi ya Rafael Nadal. Hii inakuwa ni mara ya pili kwa Davydenko kutwaa ubingwa kwa kuwafunga vinara wa Tennis Duniani ambao ni Roger Federer na Rafael Nadal. Michuano hiyo ilikuwa inafanyika katika mji wa Doha nchini Qatar
No comments:
Post a Comment