Wednesday, January 13, 2010

VIGOGO WAKUMBANA NA SHUBIRI AFCON







Michuano ya Dimba la Mataifa ya Afrika yameendelea huku vigogo wakizidi kubanwa mbavu. Wawakilishi wa Afrika kwenye Dimba la Kombe la Dunia hakuna ambaye ameweza kupata ushindi ukiondoa Ghana Balck Star ambao hawajashuka dimba. Matokeo ya jana Cameroon 0-1 Gabon na Zambia 1-1 Tunisia

No comments:

Post a Comment