
Serikali ya Angola imeimarisha ulinzi zaidi katika nchi hiyo saa kadhaa kabla ya mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika haijachezwa. Mchezo huo unatarajiwa kuwakutanisha wenyeji Angola dhidi ya Mali. Hatua ya kuimarisha ulinzi imekuja mara baada ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Togo kushambuliwa wakiwa njiani kuelekea katika kituo chao
No comments:
Post a Comment