Friday, December 11, 2009

ZANU-PF WAKUTANA KATIKA CONGRESS

MIONGONI MWA WANACHAMA WA CHAMA ZA ZANU-PF WAKIONESHA IMANI YAO KWA RAIS MUGABE
Wanachama wa Chama Cha kinachotawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF wanakutana katika baraza la Chama hicho kujadili mambo yao. Miongoni mwa yale ambayo yanajadiliwa katika Baraza hilo la ZANU-PF ni pamoja na hali ya kisiasa tangu kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa.

No comments:

Post a Comment