BABU CAMPBELL AKOSA NAFASI YA KUVAA JEZI ZA MASHETANI WEKUNDU

Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson amekanusha kuwa na mpango wa kumsajili beki za zamani wa kimataifa wa Uingereza Sol Campbell (35). Campbell ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Notts County alikuwa anahusishwa kujiunga na Mashetani Wekundu kujaza nafasi za mabeki majeruhi wa timu hiyo.
No comments:
Post a Comment