KLABU YA MANCHESTER CITY IMEMTIMUA KOCHA WAKE MARK HUGHES

Kocha wa zamani wa Manchester City Mark Hughes akionekana katika picha tofauti. Mark Hughes ametimuliwa na klabu yake saa mbili mara baada ya kupata ushindi wa magoli 4-3 dhidi ya Sunderland. Man City imetangaza nafasi yake itachukuliwa na Roberto Mancini.
No comments:
Post a Comment