Friday, December 18, 2009

BASI LA MOHAMED TRANS LILILOPATA AJALI

CHONDE CHONDE MADEREVA KUWENI MAKINI MNAPOENDESHA MSIJE MKATUMALIZA

Juu pichani na Basi la Mohamed Trans ambalo limepata ajali na kusababisha vifo vya watu kumi na tisa kati ya hao kumi na tatu wametambuliwa. Basi hili linasemekana lilipasuka tairi kitu ambacho kilichangia kugongana na basi dogo aina ya Asia Combi ambalo lilikuwa limepakia watu wa familia wakienda kwenye harusi. Madereva na Askari wa Usalama Barabarani msipokuwa makini taifa litaendelea kupoteza nguvu kazi.

No comments:

Post a Comment