TUJIKUMBUSHE KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA MWALIMU NYERERE
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIKABIDHIWA MWENGE ILI AUZIME WAKATI WA KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE
Picha hizi zinaonesha matukio mbalimbali huko Butiama wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka kumi yakifanyika. Kumbukumbu hizi zilikwenda sambamba na kuzimwa kwa mwenge katika kijiji hicho cha Butiama ambapo Mwalimu Nyerere alizaliwa. Picha kwa hisani ya Mdau Egbert Mkoko.
No comments:
Post a Comment