Thursday, December 17, 2009

FERDINAND AOTA KOMBE LA DUNIA MWAKANI

RIO FERDINAND AMEANZA KUSEMA ATAKUWA FITI KABLA YA KOMBE LA DUNIA HAPO MWAKANI

Beki wa Kimataifa wa England Rio Ferdinand (31) amesema kuwa ana amini atakuwa fiti kabla ya kombe la Dunia hapo mwakani na ataiwakilisha nchi yake. Ferdinand ambaye anasumbuliwa na maumivu ameendelea kupambana ili kuyashinda. Huyu ni mmoja wa mabeki wa kati wa kutumainiwa wa Manchester United na England.

No comments:

Post a Comment