Thursday, December 17, 2009

INJINIA WENGER AANZA KUTAFUTA SABABU

ARSENE WENGER ALALAMIKIA RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND

Kocha Mkuu wa Washika Bunduki wa London, Arsenal, Arsene Wenger ametupa shutma juu ya ratiba ya Ligi Kuu England kuwa haipo sawa. Hatua hii inakuja mara baada ya kuambulia sare ya goli 1-1 dhidi ya Burnley. Haya sababu huwa haziishi kwa makocha mambo yanapokwenda mrama.

No comments:

Post a Comment