Monday, December 14, 2009

WAZIRI MKUU APATA KICHAPO CHA FUNGA MWAKA

WAZIRI MKUU WA ITALY SILVIO BERLUSCONI AVUNJIKA MENO MAWILI PAMOJA NA PUA BAADA YA KICHAPO


Unaweza ukafikiri ni kama mchezo wa kuigiza lakini hiyo ndiyo hali halisi. Hivi ndivyo anavyoonekana Silvio Berlusconi mara baada ya kupigwa na kinyago cha kanisani akiwa katika mkutano na mtu asiyefahamika. Lakini Polisi imesema imemkamata mtu huyo ila ana rekodi ya matatizo ya akili. Haya watu wa Usalama kazi kwenu!!!!!!

No comments:

Post a Comment