Monday, December 14, 2009

HUYU NDIYE BEMBA!!!

HIVI WAMJUA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC)???

Huyu mdiye Jean Pierre Bemba, Makamu wa Rais wa zamani wa DRC ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujibu katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya Kivita ya The Hague. Bemba anatuhumiwa kuhusika na mashtaka ya kuchochea vitendo vya ubakaji na kuuwa watu wasio na hatia!!!!

No comments:

Post a Comment