Thursday, December 17, 2009

HAWA NDIYO WALIOILETA TANZANIA

WAZEE AMBAO WATAKUMBUKWA DAIMA KUTOKANA NA KUWAUNGANISHA WATANZANIA.


Juu Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Abeid Aman Karume na Rais wa Kwanza wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hapa kwa pamoja ndiyo waliofanya uwepo wa Tanzania. Baada ya kukubaliana ndipo ikaundwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na watu wake kuwa na amani ya kutosha. Mtakumbukwa daima.

No comments:

Post a Comment