Thursday, December 10, 2009

ROBINHO KING'ANG'ANIZI MAN CITY

JAMAA AMETANGAZA KUENDELEA KUWEPO LICHA YA UVUMI KUELEZA ANATAKA KUHAMA
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil ambaye anacheza klabu ya Manchester City Robinho (25) amesema hana nia ya kuihama klabu hiyo yenye maskani yake Eastland. Robinho amesema anafuraha yeye pamoja na familia yake kuwepo Man City na ana uhakika wa kukaa kwa miaka zaidi ya kumi. Jamaa alikuwa anahusishwa na kurejea nchini Spain kwenye La Liga baada ya mambo kumwendea kombo msimu huu.

No comments:

Post a Comment