Thursday, December 10, 2009

KILI STARS HOI

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kimepata kipigo kutoka kwa Rwanda Amavubi na hivyo kuondolewa katika michuano ya Chalenji iliyotinga katika hatua ya Fainali. Magoli mawili ya Yousuf Ndayishimane na Mafisango Mutesa wa Rwanda yametosha kuwasambaratisha Kili Stars. Goli la kufutia machozi la timu hiyo limefungwa na Mussa Hassan Mgosi. Kwa matokeo hayo Kili Stars imeondolewa na kuangukia katika mdomo wa ndugu zao Zanzibar Heroes.

No comments:

Post a Comment