Monday, December 14, 2009

JONGWE AENDELEA KUTAMBA

RAIS WA ZIMBABWE ROBERT GABRIEL MUGABE AMESHINDA NAFASI YA UENYEKITI WA ZANU-PF

Rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe "Jongwe" amereja tena katika kiti chake cha Uenyekiti wa ZANU-PF baada ya wanachama kumchagua kwa kishindo. Kutokana na ushindi huo Rais Mugabe atakiongoza Chama hicho kwa miaka mitano kitu ambacho kinampa nafasi ya kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais katika kinyang'anyiro kijacho. Huree Jongwe!! Huree Jongwe

No comments:

Post a Comment