Sunday, December 20, 2009

BARCELONA BINGWA WA DUNIA KWA KLABU

KLABU YA BARCELONA IMEFANIKIWA KUTWAA MATAJI YOTE AMBAYO WALIKUWA WANAYAWANIA

Wachezaji wa Barcelona wakishangilia Ubingwa wa Dunia kwa Klabu ambao wameupata huko Abu Dhabi baada ya kuwafungwa Mabingwa wa Amerika Kusini Estudiantes kwa jumla ya magoli 2-1. Goli la Ushindi lilifungwa na Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ulaya Lionel Messi katika dakika ya 110.

No comments:

Post a Comment