Monday, December 14, 2009

BOMU LALIPUKA KARIBU NA UBALOZI WA MAREKANI

AFGHANISTAN KWA ENDELEA KUWA ENEO HATARI ZAIDI KWANI KILA KUKICHA MILIPUKO INAENDELEA

Mapema subuhi wa jumanne bomu limelipuka karibu na Ubalozi wa Marekani nchini Afghanistan na kushuhudia watu wanane wakipoteza maisha huku zaidi ya ishirini wakijeruhiwa. Mlipuko huu unakuja huku tayari Rais wa Marekani Barack Obama akiwa ameahidi kuongeza idadi ya wanajeshi katika nchi hiyo kushika doria.

No comments:

Post a Comment