Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba akifunga goli la kusawazisha kwa timu yake Wachezaji wa Tottenham Hotspurs wakishangilia goli lao la pili dhidi ya West Ham United Carlos Tevez wa Man City akifunga goli la tatu katika mchezo dhidi ya Hull City Cameron Jerome wa BirminghamCity akifunga goli dhidi ya Stoke City Wachezaji wa Blackburn Rovers wakimpongeza Al Hadj Diouf mara baada ya kuisawazishia timu hiyo dhidi ya Sunderland
No comments:
Post a Comment