Saturday, December 19, 2009

NI MISS RWANDA CYNTHIA AKAZUBA

CYNTHIA AKAZUBA AONDOKA NA USHINDI WA MISS EAST AFRIKA
Mrembo Cynthia Akazuba ndiye mshindi wa Taji la Miss East Africa mara baada ya kuwabwaga wenzake kumi na tatu ambao walikuwa wanawania ushindi. Cynthia ambaye ni Mshiriki kutoka nchini Rwanda ametwaa taji hilo pamoja na Gari aina ya Toyota Sports Celica. Kwa ushindi huo anakuja taji ambalo lilikuwa linashikiliwa na Claudio kutoka Burundi. Picha za shindano zitamwagia usiwe na hofu.

No comments:

Post a Comment