Tuesday, December 15, 2009

MLIMANI TV WAZEE WA ELIMU KWANZA

JAMANI HAPA NDIPO NINAPOSAKA MKATE WANGU WA SIKU EEH!!

Nembo imekaa kiukweli hata me mwenyewe naifagilia. Si kwa sababu napata riziki hapa la!! wadau ila kwenye ukweli na tuseme. Jamaa wanafanya vizuri kaa tayari nitakuwa nakurushia mambo ambayo yanaendelea hasa kwenye vipindi vya Live. Vigogo kibao wameshakanyaga hapa na kukutana na kitimoto cha ukweli.

No comments:

Post a Comment