Monday, December 14, 2009

WENGER AANZA TAMBO ZA UBINGWA!!!

AMA KWELI USHINDI MTAMU!! KOCHA WA ARSENAL ATAMBA KUTWAA UBINGWA ENGLAND

Baada ya kuwazamisha Vijogoo vya Jiji Liverpool, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amejitamba kuibuka na ubingwa mwaka huu. Wenger amesema ana amini tofauti ndogo ya pointi baina ya klabu yake na zile mbili za juu inampa nafasi ya kufanya vizuri zaidi. Arsenal ipo katika nafasi ya tatu, Man U nafasi ya pili wakati Chelsea "The Blues" ndiyo vinara.

No comments:

Post a Comment