Thursday, December 10, 2009

WAAFRIKA WAMBEBA MOURINHO EUFA

INTER MILAN NAO WATINGA KUMI NA SITA BORA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Vijana wa Mourinho wakiwa na furaha mara baada ya kupata tiketi ya Hatua ya Mtoano Uefa Champions League. Inter Milan ilishinda magoli mawili kwa bila dhidi ya Rubin Kazan kwa magoli ya Samuel Eto'o na Mario Balotteli. Draw kufanyika Ijumaa ili kujua nani atapambana na nani katika hatua hiyo.

No comments:

Post a Comment