Friday, December 18, 2009

MSHINDI WA KISURA TANZANIA APATIKANA

KISURA MWAKA 2009 NI DIANA IBRAHIM

Shindano la kusura wa Tz 2009 limefikia tamati huku mshindi akiwa ni Diana Ibrahimu wakati nafasi ya pili imeenda kwa Jaquiline Benson (Kulia) wakati nafasi ya tatu imeangukia kwake Mwajabu Juma (Shoto). Shindano hilo lilifanyika katika Hoteli ya Movenpick jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment