BINGWA WA KIHISTORIA WA MASHINDANO YA MAGARI YAENDAYO KASI DUNIANI MICHEAL SCHUMACHER

Bingwa wa mbio za magari yaendayo kasi Michael Schumacher ametangaza nia yake ya kutaka kurejea tena kwenye kinyang'anyiro mara baada ya kustaafu. Tyari kampuni yake ya zamani ya Ferrari imempa ruhusa ya kujiunga na timu yoyote kwenye Formula One.
No comments:
Post a Comment