BALLACK AKUTWA NA MCHECHETO JUU YA UWEZO WA UJERUMANI KWENYE KOMBE LA DUNIA

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ujerumani Michael Ballack amekiri kikosi chake hakipo madhubuti na kuweza kuchukua ubingwa wa dunia hapo mwakani. Ballack amesema timu hiyo imekosa matokeo ya muendelezo kitu ambacho ni hatari. Kwani imekuwa ikishinda na kupoteza michezo tofauti na ilivyokuwa awali.
No comments:
Post a Comment