Friday, December 11, 2009

TIGER WOOD AKAA KANDO KIDOGO

WOODS ANAONEKANA KUWA KATIKA WAKATI MGUMU KIPINDI HIKI

Mchezaji nambari moja Duniani katika mchezo wa Golf Tiger Woods ametangaza kusimama kucheza mchezo huo kwa muda usiojulikana ili aweze kushughulikia mambo yake binafsi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwenye mtandao wake zinaeleza kuwa anajua yale ambayo yanamkabili kwa sasa yanahitaji muda kuyafanyia kazi. Woods katika siku za hivi karibuni amekuwa katika kashfa tangu apate ajali ambayo inasemekana kuchangiwa na "Kimada".

No comments:

Post a Comment