Tuesday, June 1, 2010

KIONGOZI WA AL QAEDA AUAWA NCHINI AFGHANISTAN!!


Kiongozi wa ngazi ya juu katika Kundi la Al Qaeda ambaye ni watatu kiutawala nchini Afghanistan Mustafa Abu Al Yazidi ameuwawa katika shambulizi lililofanywa na jeshi la Marekani.
Taarifa ambazo zimethibitishwa na Kundi la Al Qaeda nchini Afghanistan zimesema Abu Al Yazid ambaye anafahamika pia kama Sheikh Said Al Masri ameuawa Kaskazini Magharibi mwa Pakistan.

No comments:

Post a Comment