Thursday, June 3, 2010

MAZISHI YA WANAHARAKATI NCHINI UTURUKI!!


Nchi ya Uturuki yafanya mazishi ya Wanaharakati wake nane ambao waliuawa kwenye shambulizi ambalo limefanywa na Jeshi la Israel! Wanaharakati hao walikuwa kwenye meli ambayo ilikuwa inapeleka misaada katika eneo la Ukanda wa Gaza!!!

No comments:

Post a Comment