Tuesday, June 15, 2010

BRAZIL YASHINDA KWA TAABU HUKU IVORY COAST WAKIWABANA URENO!!!











Mchuano wa Kombe la Dunia umezidi kushuhudia maajabu baada ya Brazil ambayo ilipewa nafasi ya kuibuka na ushindi mnono kukabwa koo na kuambulia ushindi wa taabu mbele ya Korea Kaskazini. Mapema Ureno waliambulia sare ya bila kufungana na Ivory Coast!!!

No comments:

Post a Comment