Tuesday, June 1, 2010

FRENCH OPEN YAENDELEA!!!




Mchuano wa French Open waendelea kushika kasi huku kina dada wakiendelea kusaka ubingwa wa Taji hilo lenye heshima kubwa Duniani!! Serena Williams mchezaji nambari moja upande wa Wanawake anaendelea kusaka taji hilo kwa umakini wa hali ya juu!!

No comments:

Post a Comment