







Timu ya Taifa ya Brazil Samba Kings wakiwachakaza Tembo wa Afrika Ivory Coast katika mchezo wa pili katika Kundi la Kifo. Brazil imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 kwa magoli ya Luis Fabiano na Elano wakati lile la Ivory Coast likifungwa na Didier Drogba!!!
No comments:
Post a Comment