Friday, June 25, 2010

CAMEROON, ITALY WAAMBULIA KICHAPO!!!










Mabingwa watetezi Italy wameondolewa kwenye kinyang'anyiro baada ya kupata kichapo kutoka kwa Slovakia huku Simba Wasiofugika Cameroon wakiendelea kuvurunda na kuondolewa bila hata ya pointi moja!!!

No comments:

Post a Comment