Monday, June 21, 2010

URENO YAFANYA MAUAJI WAKATI SPAIN IKIFUFUA MATUMAINI!!!









Timu ya Taifa ya Ureno imefanya mauaji ya kutisha baada ya kuisambaratisha Korea Kusini kwa magoli saba kwa buyu. Spain wenyewe wamefufua matumaini baada ya kuwafunga Honduras kwa magoli mawili kwa nunge!!!

No comments:

Post a Comment