Wednesday, June 16, 2010

VUVUZELA ZAZIMWA NA URUGUAY, SPAIN WAKIPATA KICHAPO!!!!










Mchuano wa Kombe la Dunia umeendelea kushika kasi na kushuhudia wenyeji Afrika Kusini Bafana Bafana wakiwa katika hali mbaya ya kufuzu hatua ya pili. Bafana Bafana wamekumbana na kichapo cha mbwa mwizi cha magoli 3-0 kutoka kwa Uruguay. Mapema Spain mabingwa wa Ulaya nao walilala kwa goli moja kwa nunge mbele ya Uswisi.!!

No comments:

Post a Comment