Wednesday, June 16, 2010

MASHABIKI WANAOTIA FORA WORLD CUP!!!







Mashabiki ambao wanaziunga mkono timu zao kwenye Mchuano wa Kombe la Dunia. Wengine licha ya timu zao kupata vichapo wameendelea kupaka rangi ambazo baada ya mchezo huwa karaha kwao. Mambo hayo lakini wanapendeza kweli!!!

No comments:

Post a Comment