Friday, June 18, 2010

UJERUMANI YAFA MBELE YA SERBIA!!!







Timu ya Taifa ya Serbia imefanikiwa kuchukua pointi tatu muhimu baada ya kuichabanga Ujerumani kwa goli moja kwa bila na kuweka pointi tatu kibindoni!!!

No comments:

Post a Comment