Tuesday, June 22, 2010

SOUTH AFRICA, NIGERIA NJE WORLD CUP!!!














Mipambano ya kumalizia michezo ya Kundi A na B kwenye picha. Mexico na Uruguay ndiyo wamefuzu kutoka Kundi A wakati Kundi B Argentina na Korea Kusini wamekata tiketi za kufuzu mzunguko wa pili wa kinyang'anyiro hicho!!!

No comments:

Post a Comment